Mwanzo
Karibu!
SHEMWETA INVEST AB tunajitahidi kuboresha huduma na bidhaa zetu.
Karibu katika tovuti yetu maalumu ya vitabu
SHEMWETA INVEST AB - TANZANIA ni tawi la kampuni yenye makao yake makuu nchini Sweden ikijishughulisha, pamoja na mambo mengine, utoaji wa ushauri wa kitaalamu katika sekta ya michezo kwa shule, taasisi za elimu, vyama, vilabu na jumuiya za michezo pamoja na kampuni/mashirika mbalimbali.
Moja ya njia tutumiazo ni pamoja na semina, matukio mbalimbali ya michezo na kwa kupitia vitabu mbalimbali vya Elimu ya Michezo. Tovuti hii ni maalumu kwa vitabu hivyo vya michezo na riwaya nyinginezo.
Kwa maelezo zaidi ya namna ya kuagiza vitabu vyetu na huduma zetu nyinginezo, mfano usafirishaji wa vifurushi na uhamishaji wa vitu mbalimbali vya ofisi, nyumbani, kampuni, n.k. - tafadhali wasiliana nasi bila kusita.
Vivyo hivyo taarifa nyingine zinapatikana katika: www.shemweta.com na www.movers.shemweta.com.
KARIBU SANA!
Habari mpya
Kitabu chetu kipya "MIONGOZO YAKINIFU SEKTA YA MICHEZO" sasa kinapatikana nchini Tanzania!
Bei ni Shilingi za Tanzania 5,000/= tu!
Kitabu tajwa hapo juu kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiingereza pia kikiitwa "SEEMLY GUIDELINES IN SPORTS SECTOR"
Bei ni Shilingi za Tanzania 8,000/= tu! (Hii ni kutokana na gharama kubwa ya uchapishaji).